PayPal
PayPal, kiongozi anayeaminika katika malipo ya mtandaoni, huwezesha wanunuzi na wafanyabiashara kutuma na kupokea pesa mtandaoni. PayPal ina zaidi ya akaunti milioni 173 za wanachama katika nchi na maeneo 202. Inakubaliwa na wafanyabiashara kila mahali, ndani na nje ya eBay.
Je, ni salama kutumia?
PayPal husaidia kulinda maelezo ya kadi yako ya mkopo kwa kutumia mifumo inayoongoza katika sekta ya usalama na kuzuia ulaghai. Unapotumia PayPal, maelezo yako ya kifedha hayashirikiwi kamwe na mfanyabiashara.
Kwa nini utumie PayPal?
Nunua au utume pesa ukitumia PayPal - ni bure
Nunua na ulipe kwa urahisi kwa kuhifadhi maelezo yako ukitumia PayPal